Kipindupindu:
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bakteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam
“Vibrio cholera”
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bakteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam
“Vibrio cholera”
Chanzo cha ugonjwa
• Vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu
• Vimelea vilivyomo kwenye kinyesi cha mtu bila yeye binafsi kuonesha dalili zozote za ugonjwa za kipindupindu
Dalili za ugonjwa wa kipindupindu.
Mgonjwa wa Kipindupindu huwa na dalilizifuatazo:
• Kuharisha mfululizo au mara kwa mara bila tumbo kuuma ambako kunaweza kuambatana na kutapika.
• Kinyesi au matapishi huwa ya maji maji yasiyo na harufu, yanayofanana na maji yaliyooshewa mchele.
• Kusikia kiu sana, macho kudidimia na ngozi kusinyaa ambavyo hutokana na upungufu wa maji mwilini.
• Kuishiwa nguvu, kuhema haraka haraka na kulegea. Hali hii hutokana na upun gufu wa maji na madini mwilini.
Kipindupindu kinavyoenea.
• Kula chakula au kunywa kinywaji chochote kilicho na vimelea vya ugonjwa wa kipindupindu kwa mfano:-
- Kunywa maji yasiyochemshwa.
- Kula chakula kilichoandaliwa katika mazingira ambayo siyo sa .
- Kula matunda yasiyooshwa kwa maji sa na salama.
- Kunywa pombe za kienyeji zilizoandaliwa katika mazingira machafu au kunywea katika vyombo vichafu.
- Kula mboga za majani, kachumbari na saladi bila kupikwa au kuziosha kwa maji safi na salama.
• Kula chakula au kumlisha mtoto bila kunawa mikono kwa sabuni na maji safi na salama yanayo tiririka.
• Kuosha au kuhudumia mwili wa mtu aliyekufa kwa ugonjwa wa kipindupindu bila kujikinga.
• Kunawa mikono kwenye chombo kimoja kwa mfano ndani ya bakuli au beseni kabla ya kula chakula.
• Kutotumia choo au utupaji ovyo wa kinyesi.
• Kutonawa mikono baada ya kutoka chooni.
• Kuweka mazingira katika hali ya uchafu mfano kutupa taka ovyo bila kuzingatia kanuni za afya..
• Kula vyakula vilivyopoa na visivyofunikwa.
• Kutiririsha maji ya chooni ardhini na hivyo kusababisha uchafuzi wa vyanzo vya maji na chakula. Inzi huchangia kueneza ugonjwa wa kipindupindu kwa tabia zake za kutua chooni kwenye kinyesi, uchafu na hata vyakula na vinywaji.
Athari za kipindupindu
• Hofu miongoni mwa jamii katika sehemu yenye mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu.
• Kifo kutokana na ukosefu wa maji na madini mwilini baada ya kuharisha na kutapika sana.
• Kushuka kwa uchumi kutokana na familia/jamii kuacha shughuli za uzalishaji mali ili kumuhudumia mgonjwa na kushiriki katika misiba.
• Serikali hutumia fedha nyingi kwa ajili ya dawa katika kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
Jinsi ya kujikinga na kipindupindu
• Jenga choo bora na kukitumia ipasavyo.
• Funika tundu la choo na funga mlango baada ya matumizi yake yanayotiririka kwa kutumia sabuni:.
- kabla ya kula au kumlisha mtoto
- baada ya kutoka chooni au kumtawaza mtoto.
• Kula chakula kikiwa bado moto na funika chakula kilichoandaliwa tayari kwa kuliwa.
• Kunywa maji yaliyochemshwa na kuhifa dhiwa katika chombo kisafi na salama.
• Safisha vyakula vinavyoliwa vibichi (kama vile matunda na mboga) kwa kutumia maji safi na salama yanayotiririka.
• Hakikisha usafi wa mazingira ya vilabu/baa, wahudumu na vyombo vitumikavyo. Pombe za kienyeji ziandaliwe kwa maji yaliyochemshwa.
• Weka mazingira katika hali ya usafi.
• Uonapo mtu mwenye dalili za kipindu pindu toa taarifa haraka katika kituo cha huduma za afya au ofisi ya serikali ya kijiji/mtaa au kata
Kumbuka, kuchuja maji yaliyochemshwa kunaweza kuchafua maji kwa kuingiza vimelea.Hivyo, chuja maji kabla ya kuyachemsha.kuhudumia mgonjwa Mgonjwa wa kipindupindu hupoteza maji mengi na madini muhimu mwilini anapoharisha na kutapika.
Ili kuokoa maisha ya mgonjwa ni muhimu kuchukua hatua zifuatazo:
• Mpe mgonjwa dawa ya mchanganyiko wa sukari na chumvi (ORS), maji, uji mwepesi,\ supu nk. mara kwa mara.
• Mpeleke mgonjwa haraka iwezekanavyo katika kituo cha afya/zahanati/ hospitali au kituo cha kutibu kipindupindu kilicho karibu .
• Matapishi na kinyesi cha mgonjwa ni hatari kwa afya yako. Kwa hiyo nguo na vitu vingine vilivyochafuliwa na mgonjwa vilowekwe kwenye kemikali maalumu (mfano Jik) au vichemshwe ili kuua vimelea vya kipindupindu na kisha visafishwe kwa sabuni.
• Ndugu waliokuwa wakiishi na mgonjwa au wale wanaomhudumia wahakikishe wanapata dawa za kinga dhidi ya kipindupindu.
Angalizo: Ni muhimu wakati wote mikono yako kuwa misafi ili kuzuia vimelea vya ugonjwa visiingie kinywani mwako
Tahadhari:
Maiti ya mgonjwa wa kipindupindu ni hatari, usijishughulishe na kuosha maiti hiyo bali izikwe haraka kwa kufuatwa ushauri wa wataalam wa afya

Ukiwa wewe au mtoto anaharisha
Haraka sana tumia mchanganyiko wa maji ya chumvi chumvi na sukari (ORS)
iliyochanganywa na maji safi na salama
♦ Kama huna ORS kunywa maji safi na salama kwa wingi nyumbani
♦ Nenda haraka katika kituo cha huduma za afya huku ukiendelea kunywa
♦ Matunda kabla ya kuliwa yaoshwe vizuri kwa m aji ya kutiririka yaliyo safi na salama
♦ Pika Chakula vizuri na kiliwe kikiwa bado cha moto
♦ Usile kiporo mpaka upashe moto

Kunywa maji safi na salama tu
Maji ya kunywa yachemshwe au kutiwa dawa ya kutibu maji
Kuwa mwangalifu na vyakula
Matunda kabla ya kuliwa yaoshwe vizuri kwa m aji ya kutiririka yaliyo safi na salama
♦ Pika Chakula vizuri na kiliwe kikiwa bado cha moto
♦ Usile kiporo mpaka upashe moto
♦ Pika Chakula vizuri na kiliwe kikiwa bado cha moto
♦ Usile kiporo mpaka upashe moto
Mlishe mtoto wako kwa usalama zaidi
♦ Kipindupindu hakienei kwa mtoto kunyonya maziwa ya mama
♦ Maziwa ya mama siku zote ni salama kwa mtoto, hata kama mama anaharisha na kutapika
♦ Mtoto chini ya miezi sita (6) anyonyeshwe maziwa ya mama pekee

Osha mikono yako kwa maji yenye kutiririka na sabuni
♦ Baada ya kutoka chooni
♦ Baada ya kumsafisha mtoto aliyejisaidia
♦ Kabla ya kula na kumlisha mtoto
♦ Kabla ya kutayarisha/ kupika chakula
♦ Kabla ya kumnyonyesha mtoto
♦ Baada ya kutoka chooni
♦ Baada ya kumsafisha mtoto aliyejisaidia
♦ Kabla ya kula na kumlisha mtoto
♦ Kabla ya kutayarisha/ kupika chakula
♦ Kabla ya kumnyonyesha mtoto
Jenga choo bora na ukitumie
♦ Dumisha usafi wa choo
♦ Usitiririshe maji taka toka choo ni
♦ Dumisha usafi wa choo
♦ Usitiririshe maji taka toka choo ni
Mikusanyiko inaweza kuchangia kuenea kwa kipindupindu
♦ Epuka mikusanyiko isiyo ya la z i m a w a k a t i w a mlipuko wa kipindupindu
♦ Mazishi ya aliyekufa kwa kupindupindu lazima yasimamiwe na mtaalam wa afya
♦ Usimfiche mgonjwa wa kuhara au kutapika
♦ Epuka mikusanyiko isiyo ya la z i m a w a k a t i w a mlipuko wa kipindupindu
♦ Mazishi ya aliyekufa kwa kupindupindu lazima yasimamiwe na mtaalam wa afya
♦ Usimfiche mgonjwa wa kuhara au kutapika
No comments:
Post a Comment