Tangazo

Tangazo

TIGO 4G

AIRTEL TANZANIA

Tembelea Tabibu wa kweli hapa Kila siku kufahamu magonjwa mbalimbali ya binadamu,vipimo vya kitabibu na ushauri wa kitaalamu

Monday, August 29, 2016

FAHAMU KWA UFUPI KUHUSU AMIBA(UGONJWA WA TUMBO)




Huu ni ugojwa ambao husababishwa na bakteria aitwaye Ectamoeba Histolitika ambaye huishi katika kinyesi cha mwanadamu.

NJIA ZA KUPATA

kula matunda bila kuosha

kutokunawa mikono baada ya kutoka chooni

kula chakula bila kuosha mikono

kunywa maji yasiyochemshwa

WATU AMBAO WAPO HATARI KUPATA HAYA MARADHI NI;

Wasafiri

Mashoga

Wanafunzi

wafanya biashara sokoni

Huanza kupata maradhi pale ambapo unakunywa au kula kitu ambambo kimechanganyika na hawa bacteria kisha wanaenda katika utumbo mdogo wanazaliana kuwa mwengi baadaye wanashuka katika utumbo mkubwa na kuanza kushambulia mwili. wakikua huishi katika kinyesi cha binadamu kisha hutolewa kwa njia ya haja kubwa na kuishi katika artdhi kwa muda wa wiki nne.

DALILI ZAKE
Tumbo kuuma kwa chini

kuharisha choo kilichochanganyika na kitu kama kamasi

kupungua uzito

homa

utumbo mkubwa kutanuka

MATIBABU

Iodoquinol hutumika kuuwa cyst

Metronidazole, Tinidazole hizi ni ant biotics ambazo hutumika kuuwa hawa wadudu

Kuwekewa drips kama mtu ameharisha sana ili kuhakikisha anapata maji na madini aliyopoteza.


ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOGU YETU...KARIBU TENA.


No comments:

Post a Comment